CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Monday, April 4, 2011

HAMIS MOHAMED AITANGAZA VYEMA TAALUMA YA USTAWI WA JAMII

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taratibu ya kuwaita maafisa wa ustawi wa jamii jina la Baba ama Mama huruma, lakini katika hali ya kawaida na ya uhalisia Afisa ustawi wa jamii anafanya kazi nyingi tu , na moja wapo ni kama alivyo fanya mdau wetu Hamisi Mohamed kama inavyo onekana kwenye picha


Njiani kuelekea Nata- Mugumu- Loliondo safari ya takrbani km 1000 Dar to Mugumu kwa gari.Hapa ni Mkata. Trip ilikuwa Dar- Arusha- Ngorongoro- Serengeti to Mugumu work point



Public consultation Loliondo mjini wakati wa Social Impact Assessment (SIA) 2010


Public consultation m katika kijiji cha Kiambai Wilaya ya Serengeti . Nata- Mugumu –Loliondo road project.


Hapo unaingia mkoa wa Rukwa unaacha Mbeya!! Ni eneo la kazi kwa project hii


Public consultation Kijiji cha Laela hapa ni wakati wa Ressetlement Action Plan(RAP)


Kijiji cha Pandani Pemba! Public consultation wakati wa Social Impact Assessment (SIA)


Public consultation kijiji cha Burunga NML project


Wakati mwingine magari yanafika mwisho wa barabara na watu inabidi tutembee kwa miguu!! Ndio maana wananchi wanataka barabara. Hapa ni safari ya miguu kwa km 20 kuelekea kijiji cha Mtambwe Pemba kufanya social impact assessment kwa project ya NPRRP

SOCIAL WORK THE PROFESSION WITH MANY FACES

3 comments:

  1. he made it men!!! Lets keep it up!!! Tutafanya makubwa zaidi!!

    ReplyDelete
  2. ni kweli ila tunahitaji kupata kazizenu kupitia socialworkertz@yahoo.com

    ReplyDelete
  3. Wadau nakubaliana na mto maoni social worker TZ!! Ni kweli inabidi tutoe kazi zetu tunazozifanya!! Hii ni njia nzuri ya kutangaza taaluma hii na uwezo wake!!!

    ReplyDelete