CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Friday, April 8, 2011

TULIYO YASEMA JANA HAYAJAFIKA MBALI


Katika habari yetu ya jana tuliomba wiazara ya ardhi na maendeleo ya makazi kutilia mkazo suala la ugawaji wa viwanja vilivyo pimwa na kupima maeneo ambayo ayajavamiwa na watu, lakini ikiwa ni siku moja imepita tangu tugusie hili suala tayari mapigano ya kugombea ardhi yametokea huko tegeta, hivyo basi tunasisitiza tena ili kuodoa migogoro hii serikali inapaswa kuliangalia hili swala kwa undani zaidi na sio kimzaha mzaha kama inavyo fanya sasa.

No comments:

Post a Comment