Wakati wanazuoni na wananchi wa kada mbali mbali wapo wanaujadili mswada mpya wa katiba kuna kundi la wananchi ambalo liko katika lindi la umasikini wa kutupwa ambalo alina uhakika hata w kuiona hiyo rasimu ya katiba mpya, swali ni je hivi wanao kusanya maoni wamejianda kulifikia kundi hili? hebu agalia picha hizi hapo chini kisha tafakari juu ya katiba mpya na kaulimbiu ya Kasi Mpya, Ari Mpya na Nguvu Mpya


No comments:
Post a Comment