CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Wednesday, May 18, 2011

MSAMA NI MFANO WA KUIGWA




Kampuni ya msama promotion imetoa sehemu ya mapato yaliyotokana na tamasha la pasaka lililo fanyika jijini Dar es salaam,baadhi yametumika kusaidia wajane 25 wasio jiweza na kusomesha watoto yatima katika mikoa ya Dodoma,Tabora,shinyanga.
Kama watanzania wote tutaiga mfano wa msama promotions tutasonga mbele.
MUNGU IBARIKI TANZANIA

No comments:

Post a Comment