Bwana Aretas Silayo Asange ni Afisa Ustawi wa Jamii katika Wilaya ya Makete iliyoko Njombe mkoani Iringa.
Akizungumzia changamoto na matatizo anayo kutana nayo katika utendaji kazi wake wa kila siku anasema
Kwanza kabisa kuna kuwa na mkaraganyiko baina ya maafisa wa maendeleo ya jamii na maafisa wa ustawi wa jamii hii inaanzia pale maafisa maendeleo wa jamii wanapofanya kazi za maafisa ustawi wa jamii ambazo kimsingi si za kwao, wanashindwa kutofautisha kati ya maemndeleo ya jamii na ustawi wa jamii. Hivyo anapendekeza serikali inge watenganisha maafisa ustawi wa jamii na maafisa maendeleo ya jamii katika utendaji kazi wao wa kila siku na ikibidi hata majengo (ofisi).
"SOCIAL WELFARE DISTRIBUTING SOME STUFF AT BULONGWA ORPHANAGE CENTER.TO LOVE IS TO GIVE"
Pili ameelezea masikitiko yake na jinsi anavyokerwa na uchakachuaji ulioko kwenye wizara ya afya na ustawi wa jamii, anadai ruzuku inayo tolewa kwa ajiri ya idara ya ustawi wa jamii haionekani hata kidogo jambo linalo sababisha utendaji kazi kuwa mgumu. ametoa ombi kwa serikali kuliangalia kwa jicho la tatu hili suala.
"HUDUMA ZA MUHIMU KAMA AFYA ,MAJI NA ELIMU NI TATIZO KWAKO TUWE SAUTI YAO"
Ameogeza kusema pia kuwa inabidi Idara ya ustawi wa jamii iwe na wizara kamili inayo jitegemea jambo ambalo litaongeza ufanisi katika utendaji kazi na kuleta maendeleo kwa taifa zima.
Amemalizia kwa kusema kuwa Lack of political will from management of council kutatua matatizo ya clients wilayani.
"Aretas akiwa katika pozi"
No comments:
Post a Comment