Mr Edward Buliro maarufu kama Lundenga wa ustawi wa jamii, Ametoa salamu za pongezi kwa wana ustawi wote walioko katika harakati za kuitambulisha kisawasawa taaluma yetu ndani ya jamii.
Akizungumza na blog ya ustawi kwa njia ya simu anasema yeye yupo Mkoani Singida anako endeleza kazi za ujenzi wa taifa kupitia fani ya ustawi wa jamii anasema vijana walioko chuo wasife moyo waongeze bidii katika masomo yao kwani wanahitajika sana kwenye jamii yetu.
Mwisho anasema kwa yeyote atajaye hitaji ushauri ama msaada wowote juu ya masuala ya Uastawi wa jamii awasiliane naye kwa anuani hii ya email buliro@live.com.
No comments:
Post a Comment