CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Wednesday, January 4, 2012

TAARIFA JUU YA KUJIUNGA NA CHUO CHA USTAWI WA JAMII ZATOKA


Taratibu za kujiunga na chuo cha ustawi wa jamii kwa wale waliokuwa wameomba kujiunga na chuo hicho kwa mwaka huu ni kuwa muda wowote kuanzia sasa tarehe ya taratibu za kusaili na kutambua mazigira itatangazwa.

Na majina ya watu walio chaguliwa yatawaijia hivi punde. endeleea kusoma blog yako ya ustawi wa jamii.

Social workerTZ Team
Dar es salaam
socialworkertz@yahoo.com

9 comments:

  1. jamani mi nimmoja ya waliyoomba hapo chuoni,kama vpi tusaidie wengine kutuwekea majina ya waliyochaguliwa,

    ReplyDelete
  2. hi. gazeti la daily newz limetoa hayo majina bat mbona tuliomba degree ya hr hatuoni majina, kama vip yawekeni kwenye net basi

    ReplyDelete
  3. mi ni mmoja wa watu ambao wanapenda sana kujiunga na chuo hiki ila sijui njisi ya kijiunga naomba mnisaidie

    ReplyDelete
  4. NAONA KUTAKA KUJUA UNAPOTAKA KUJIUNGA NA CHUO CHA USTAWI WA JAMII UNAFANYAJE!

    ReplyDelete
  5. NAOMBA KUJUA UTARATIBU WA KUIUNGA NA CHUO

    ReplyDelete
  6. jamani nauliza kwa mara ya pili hivi unapotaka kujiunga na chuo cha ustawi unafanyaje maana nahangaika lakini sipati jibu na wala hao waliouliza hawapati majibu kwenye reply sasa me naomba majibu tafadhali kwenye email yangu priscytay@hotmail.com

    ReplyDelete
  7. Sisi tunaoisha mbali na chuo fomu za kujiunga tupata wapi au tuandike barua?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama uko nje ya Dar es salaam unatakiwa kumuagiza ndugu ama jamaa yako yeyote aliyeko Dar es salaam akakuchukuilia fomu choni akutumie uzijaze kisha unamtumia anazirudisha shule.

      Delete
  8. naomba kujua taratibu za kujiunga na chuo

    ReplyDelete