CONTACT US: Mobile : 0755 484866 EMAIL : socialworkertz@yahoo.com
Thursday, September 22, 2011
WACHAGA MPO!
Ha ha ha haaaaaa! Watani zangu Wachaga hebu nijuzeni hii style yenu ya kucheza inaitwaje? Maana kila nikienda kwenye sherehe ya WACHAGA lazima niione. Nasikia inaitwa "BWASHEE UKIACHIA MIKONO UTANCHOMOLEA AISEE.
No comments:
Post a Comment