CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Wednesday, March 31, 2010

TUWAKUMBUKE WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WAKATI HUU WA SIKUKUU




wakati tunaelekea kwenye msimu wa sikukuu tunapaswa kulikumbuka kundi la watoto yatima na wanao ishi katika mazingira magumu walau kwa kuwachukua toka sehemu yeyote wanako patikana aijarishi ni njiani, barabarani, uchochoroni, mtaani, na hata kwenye vituo vya kulelea watoto hao. ili tujumuike nao na kupata nao walau mlo mmoja kwa kipindi hiki. kwakulifanya hili tu. tutakuwa tunanjenga upendo katika jamii yetu.
TUNAWATAKIA HERI YA PASAKA.


No comments:

Post a Comment